twalibaatul.ilmu
Twaalibaatul Ilmu - Sera 06

Walianza maqureshi kumuudhi Mtumi SAW na kumfanyia stihzai baada ya mambo matatu (3) yafuatayo:
Baada ya kuona kuendelea kwa daawa yake
Kutetewa na Ami yake
Kwa ajili ya kuswali
Alipotaka kugura kwenda Madina
Tabia Nne (4) zipi ambazo Mtumi SAW aliwakabili maqureshi wanapo muudhi?.
Kwa uhalimu
Kwa swabr
Kwa utaratibu
Kwa usamaha
Kwa ukali
Ni Maqureshi gani wane (4) waliokuwa wakimuudhi Mtumi SAW?
Abu Jahl
Abu Llahab
Uqba ibn Abi muait
Walid ibn mughira
Mutiim ibn Adii
Ni Wanawake gani watatu (3) walomnyonyesha Mtumi SAW?
Amina Binti Wahbi
Thuwaiba tu Islamiya
Halima tu Saadiya
Ummu Aiman
Mamake Mtumi SAW alizikwa wapi?
Abuaa
Madina
Makka
Qubaa
{"name":"Twaalibaatul Ilmu - Sera 06", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Walianza maqureshi kumuudhi Mtumi SAW na kumfanyia stihzai baada ya mambo matatu (3) yafuatayo:, Tabia Nne (4) zipi ambazo Mtumi SAW aliwakabili maqureshi wanapo muudhi?., Ni Maqureshi gani wane (4) waliokuwa wakimuudhi Mtumi SAW?","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Powered by: Quiz Maker