twalibaatul.ilmu
Twaalibaatul Ilmu - Fiqhi 05

Mwanzo wa wakati wa alasiri ni
Kinapokuwa kivuli cha killa kitu mfano wake na ikazidi kidogo
Kinapokuwa kivuli cha kila kitu mfano wake
Kunapokuwa hakuna kivuli
Niya ya swala ya faradhi yahitaji
Kukusudiya kitendo cha swala ujuwe ni faradhi ujuwe ni swala gani
Ukusudiye kitendo cha swala ujuwe ni swala gani
Ukusudiye ni kitendo cha swala tu
Najisi ya mbwa na nguruwe hutwahirishwa kwa
Kuosha mara saba baada ya kuiondosha najisi josho moja utanganye na mtanga
Uondoshe najisi kisha upitishe maji
Kunyunyiza maji tu
Ni swala zipi tatu (3) za jamaa ziloswihi kati ya hizi
Mwanamume kumfuwata mwanamume
Mwanamke kumfuwata mwanamume
Mwanamke kumfuwata khuntha
Khuntha kumfuwata mwanamke
Mwanamume kumfuwata khuntha
Sharti Nne (4) za kufuwata jamaa ni
Usijuwe kuwa swala ya imam wako imebatwilika
Ni lazima maamuma atiye niya ya kufuwata
Ajuwe maguro ya imamu wake
Ziwe ni sawa mtungo wa swalazao
Imam lazima atiye niya ya uimamu
{"name":"Twaalibaatul Ilmu - Fiqhi 05", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Mwanzo wa wakati wa alasiri ni, Niya ya swali ya faradhi yahitaji, Najisi ya mbwa na nguruwe hutwahirishwa kwa","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Powered by: Quiz Maker