Ni nguzo zipi nne (4) katika hizi ni lazima kujituliza?
Rukuu
Iitidal
Kitako baina ya sijda mbili
Sujud
Kusimama
Takbiratul ihram
Sababu nne (4) za sujudu sahw ni:
Kuwata baadh katika abaadhi swala
Kitendo hubatilisha swala ukifanya kwa kusudi haibatishi ukifanya kwa kusahau
Kugurisha nguzo ya maneno ambapo so mahali pake
Kutukiya nguzo ya kitendo na ukaona umefanya ziyada
Kuwata kusoma dua ya iftitah
Kutosoma sura baada ya fatiha
Abaadhi swala tano (5) ni zipi?
Attahuyyatu ya kwanza na kitako chake
Kumswaliya mtume s.a.w ndani yake
Kuswaliya aali za mtume s.a.w kwenye attahiyatu ya pili
Qunut
Kumswaliya mtume s.a.w kwenye qunut
Kusoma sura baada ya fatiha
Kuleta tasbih kwenye rukuu na sujud
Mambo mane (4) yenye kubatwilisha swala ni
Kuzukiwa na najisi kwenye swala
Kufungukwa na tupu
Kutamka kwa kusudi
Kufanya vitendo vitatu kwa kufuwatana
Kuzungusha uso
Mwanamke kumfuwata mwanamume
Imeharamishwa swala za sunna zisokuwa na sababu kwenye nyakati tatu (3) gani?
Baada swala ya asubuhi mpaka jua litoke
Baada ya swala ya alsiri mpaka maghrib
Wakati jua liko kati ya mbingu kabla ya kuingiya adhuhuri isipokuwa ijumaa
Kabla ya swala ya ishai
{"name":"Twaalibaatul Ilmu - Fiqhi 04", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Ni nguzo zipi katika hizi ni lazima kujituliza?, Sababu ya sujudu sahw ni:, Abaadhi swala ni zipi?","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}