Twaalibaatul Ilmu - Sera 10

Sababu gani mfalme wa Habasha, Najashi alikataa kuwasalimisha waislamu kwa Amr warudishwe Makkah?
Kwa sababu Sayyidna Jaffar alimpa hoja za kumridhisha kuwapa ulinzi wake.
Kwa sababu waislamu walimuhonga mfalme Mali mingi kushinda maqureshi.
Kwasababu Mfalme Najashi alikua ashasilimu kwa Siri.
Kwasababu ajuana na Mtume Muhammad (saw)
Sayyidna Jaafar (ra) Alimsomea Mfalme Najashi aya za sura gani kuhusu Nabii Isa (as)?
Al Imran
Maryam
Yasiin
Al Faatiha
Ni mtu gani wa kwanza kuswaliwa swala ya janaza ya ghaib na Mtumi Muhammed (saw)?
Mfalme Abraha
Mfalme Najashi
Waraka bin Naufal
Aba Twalib
Ni ipi nasaba sahihi ya Mtume Muhammad (saw)?
Muhammad ibn Abdillahi ibn AbdiMuttwalib ibn AbdiManaf ibn Hashim ibn Quswai ibn Kilab
Muhammad ibn Abdillahi  ibn Hashim ibn AbdiMuttwalib ibn AbdiManaf ibn Quswai ibn Kilab
Muhammad ibn Abdillahi ibn AbdiMuttwalib ibn Hashim ibn AbdiManaf ibn Quswai ibn Kilab
Muhammad ibn Abdillahi ibn AbdiMuttwalib ibn Hashim ibn AbdiManaf ibn Kilab ibn Quswai
Dalili gani ilotujulisha kuwa Mfalme Najashi alikufa hali ni muislamu?
Kuwapokeya Waislamu walipofika Habash
Kukataa kuwasalimisha Waislamu kwa Amr kuwaregesha Makka
Kuswaliwa swala ya Janaza ya ghaib na Mtumi Muhammed (saw)
Baada ya kusikiya aya alizosoma Sayyidna Jaafar (ra)
{"name":"Twaalibaatul Ilmu - Sera 10", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Sababu gani mfalme wa Habasha, Najashi alikataa kuwasalimisha waislamu kwa Amr warudishwe Makkah?, Sayyidna Jaafar (ra) Alimsomea Mfalme Najashi aya za sura gani?, Ni mtu gani wa kwanza kuswaliwa swala ya janaza ya ghaib na Mtumi Muhammed (saw)?","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Powered by: Quiz Maker