TWAALIBAATUL ILMU
Twaalibaatul Ilmu - Fiqhi 09

Sharti nne za kuswihi swaum ni zipi?
Uislamu
Akili
Kutakisika kwa mfano wa heidh na nifas
Mkazi wa mji
Kujuwa kuwa wakati ulokukabili ni wa kufunga
Lazima uone mwezi
Sharti tano za kuwajibika kufunga ni:
Uislamu
Baligh aaqil
Kuwa na uweza wa kufunga
Kuwa na afya
Mkazi wa mji
Kujuwa wakati ni wa kufunga
Kula Daku
Kufuturu kwa tende na Maji
Yanayomlazimu mtu kulipa swaum na fidya ni vigawanyo vingapi?
2
4
6
3
Mambo saba yanayobatwilsha swaum ni:
Kuritaddi
Heidh
Nifas
Kuzaa kwa upungufu
Wazimu hata kwa muda
Kupotewa na fahamu mtana wote
Ulevi wa kusudi
Kupotewa na fahamu kwa muda
Kunwa maji kwa kusahau
Kulala mtana kwa muda mrefu
Ni wajibu ulipe swaum ya ramadhani pamoja na kujizuiliya na kula kwa mtu aliye:
Kuwata kutiya niya usiku
Kula daku kudhani ni usiku bado na kumbe ni alfajiri
Futuru kudhani ni maghrib
Aliyejuwa ni siku ya 30 ya shaaban kumbe ni ramadhan
Kwa mwenye kufanya yote yalotanguliya akiwa afunga kwenye miezi ambayo si ramadhan
{"name":"Twaalibaatul Ilmu - Fiqhi 09", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Sharti nne za kuswihi swaum ni zipi?, Sharti tano za kuwajibika kufunga ni:, Yanayomlazimu mtu kulipa swaum na fidya ni vigawanyo vingapi?","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Powered by: Quiz Maker