twalibaatulilmu
Twaalibaatul ilmu - Fiqhi 01

Ni zipi katika hizi imetanganya Nguzo zote za Kiislam?
Shahada, Swala, zaka, qadar na hajj
Kumuamini Mwenyeezi Mungu, Malaika, Swala, vitabu na siku ya mwisho
Shahada, Swala, Zakah, Saum na Hajj kwa awezae
Nguzo za Imani ni:
Kumuamini Allah, Malaika, Vitabu vyake, Mitumi, Siku ya Mwisho, kuamini qadar ya kheir na shaar yatoka kwa Allah
Kumuamini Allah, Swala, Zakah, Hajj, Malaika na Saum
Shahada, Malaika, Zakah, Saum , qadar na Hajj kwa awezae
Alama za kubalegh ni:
Kufika miaka Tisa kwa mtoto wa kike na kiume kupata Heidh kwa mtoto wa kike alofika miaka kumi na tano kuota kwa mtoto wa kike na kiume wakifika miaka kumi na tano
Ni Kufika miaka kumi na tano kwa Mwanamume na mwanamke Heidhi kwa mtoto wa kike akifika miaka Tisa kuota kwa mtoto wa kike na wa kiume wakifika miaka Tisa
Kufika miaka kumi kwa mtoto wa kike na kiume, kupata Heidh kwa mtoto wa kike akifika miaka kumi kuota kwa mtoto wa kike na kiume wakifika miaka kumi na tano
Sharti za kutamba na mawe ni:
Jiwe moja, mahali popote, isikauke najisi, yaeza kugura au kutapakaa au kutangamanika na maji
Mawe matatu, patakate mahali, isikauke najisi, isigure, isizuke najisi nyengine juu yake, isienee, isiingiwe na maji, mawe twahara
Mawe matatu, patakate mahali, isikauke najisi, isigure, isizuke najisi nyengine juu yake, isienee, isiingiwe na maji
Faradhi za Udhu ni zipi?
Nia, kuosha uso, kuosha mikono miwili, kutia maji nyeleni, kuosha miguu miwili, kufanya haya kwa tartib hii
Nia, kuosha uso, kuosha mikono miwili, kutia maji nyeleni, kuosha mashikio, kuosha miguu miwili, kufanya haya kwa tartib hii
Nia, kuosha uso, kuosha mikono miwili, kuosha mashikio, kuosha miguu miwili, kufanya haya kwa tartib hii
{"name":"Twaalibaatul ilmu - Fiqhi 01", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Ni zipi katika hizi imetanganya Nguzo zote za Kiislam?, Nguzo za Imani ni:, Alama za kubalegh ni:","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Powered by: Quiz Maker