TWAALIBAATUL ILMU
Twaalibaatul Ilmu - Fiqhi 13

Sababu za sujudu sahw ni:
Kufanya kutendo lau ukikifanya kwa kusahau haibatwilshi Swala lakini ukifanya kwa kusudi ya bwatilisha e.g kama kutoka salam kabla huja kamilisha swala
Kuwata kusoma attahiyyatu ya mwanzo
Kwa kudhaniya umeongeza rakaa au nguzo ya Swala
Ukiwata kusoma dua ya istifitah (kufunguwa swala)
Kugurisha nguzo ya maneno ambapo si mahali pake
Ukipunguza rakaa katika swala ukapiga salam kisha ukakumbuka utafanya nini?
Utainuka ukamilishe kisha usujudu sujudu sahw
Waweza hata ukiwa umezungumza kidogo ukaikamilisha swala kisha usujudu sahw
Utaanza swala upya
Huna haja ya kuiswali tena wala sijda ya sahw
Yenye kufunguza swaum ni:
Kula na kunwa kwa kusudi
Kujitapisha
Kupata Heidh au nifas
Kujitoza manii kwa kusudi
Kula kunwa au kufanya kitendo cha ndoa kwa kudhaniya juwa lime kutwa au alfajiri haijaingiya ikawa ni kinyume ya hivo
Kutapika
Ukamilifu wa kafani ya mwanamke (sanda) ni:
Kanzu kitambi mtandio shuka mbili
Kanzu kitambi mtandio shuka moja
Shuka tatu
Kanzu kitambi mtandio shuka moja
Mali yanayokuwa zaka zao ni robo ya fungu la kumi 2.5% ni:
Mali ya bishara
Dhahabu na Fedha
Wanyama wa kufugwa
Pesa ulizoweka akiba kwa muda wa miezi sita
{"name":"Twaalibaatul Ilmu - Fiqhi 13", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Sababu za sujudu sahw ni:, Ukipunguza rakaa katika swala ukapiga salam kisha ukakumbuka utafanya nini?, Yenye kufunguza swaum ni:","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Powered by: Quiz Maker