TWAALIBAATUL ILMU
Twaalibaatul Ilmu - Sera 09

Ulipotimu mwaka wa Saba wa Utumi kulijiri mambo gani (mawili) Makkah?
Maqureshi walipanga njama za kumuua Mtumi (SAW) kwa kumuingilia nyumbani kwake nyakati za usiku.
Maqureshi walipanga njama za kumuua Mtumi (SAW) kwa njaa kwa kumuekea vikwazo asitoke nyumbani kwake yeye na aila yake.
Mtumi (SAW) aloitoa ushauri kwa awezae agure kwenda Habasha baada yakuekewa vikwazo aina mbali mbali na Maqureshi.
Makabila mawili ya kiqureshi (Banuhashim na Banumutwalib) wakiongozwa na Aba Twalib walikwenda Shiib kwa muda wa vikwazo walivoekewa
Hiswaar ya Maqureshi dhidi ya Mtumi (SAW) ilikusanya mambo yapi (matano)?
Kutofanya biashara ya aina yoyote baina yao na makabila ya Banuhashim na Banumutwalib
Kukata uhusiano wa kijamii ikiwemo kutosalimiana na makabila ya Banuhashim na Banumutwalib
Kuzuia chakula kuwafikia makabila ya Banuhashim na Banumutwalib walio kusanyika Shiib
Hakuna ruhusa ya kuzikana na kuowana na mtu yoyote miongoni mwa makabila ya Banuhashim na Banumutwalib
Kumuua mtu yoyote atakae pinga huu mkataba wa Hiswaar dhidi ya makabila ya Banuhashim na Banumutwalib.
Kumuua mtu yoyote atakae toka kwenye Shiib miongoni mwa makabila ya Banuhashim na Banumutwalib.
Kuwachukuliya mali yao yote makabila ya Banuhashim na Banumutwalib
Kuwashambuliya kwa mapanga makabila ya Banuhashim na Banumutwalib
Katika safari ya pili kwenda Habasha, watu wangapi walio gura Makkah?
Wanaume 11 na Wanawake 73
Wanaume 73 na Wanawake 11
Wanaume 15 na Wanawake 11
Wanaume 73 na Wanawake 15
Katika safari ya pili, waislamu walitoka habasha kurudi wapi?
Makkah
Madina
Makkah na Madina
Yemen
Waislamu walitoka Makkah kwenda Habasha, walikutana na muislamu gani kutoka Yemen walipofika Habasha?
Amr Bin Auf
Abu Sufiyan
Abu Musa Al Ashaariyu
Amr Bin Aus
{"name":"Twaalibaatul Ilmu - Sera 09", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Ulipotimu mwaka wa Saba wa Utumi kulijiri mambo gani (mawili) Makkah?, Hiswaar ya Maqureshi dhidi ya Mtumi (SAW) ilikusanya mambo yapi (matano)?, Katika safari ya pili kwenda Habasha, watu wangapi walio gura Makkah?","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Powered by: Quiz Maker