Je! Unafahamu nini kuhusu Ramadhani?

A colorful digital illustration representing the month of Ramadhan, featuring crescent moons, stars, mosque silhouettes, and cultural symbols such as dates and prayer beads.

Ramadhani Quiz: Test Your Knowledge

Discover how well you understand the significance and practices of Ramadhani with our engaging quiz. This quiz comprises 10 multiple-choice questions that challenge your knowledge about fasting, traditions, and important dates related to this holy month.

  • Learn about the key practices of Ramadhani.
  • Test your understanding of when and how fasting is observed.
  • Explore traditions associated with the end of Ramadhani.
10 Questions2 MinutesCreated by StudyingSunflower42
Hizi zote ni mazoea ya Ramadhani isipokuwa?
Taraweeh
Sawm
Tahajjud
Eid-l Kabir
Ramadhani inazingatiwa kwa siku ngapi?
Siku 30-31
Siku 29-30
Siku 31
Siku 28
Ni kalenda gani inayotumika kuhesabu Ramadhani?
Kalenda ya Lunar
Kalenda ya hebrew
Kalenda ya hijrah
Kalenda ya gregorian
Kufunga wakati wa Ramadhani huanza wakati wa?
Jioni
Mchana
Alfajiri
Jua linapo zama
Kufunga ni lazima kwa wa muislamu yeyote isipokuwa?
Kwa Muislamu anayekunywa pombe
Kwa muislamu wa kike ambaye yupo katika hedhi
Kwa muislamu ambaye haswali
Hakuna jibu sahihi
Watu wafuatao hawaachiliwi na kufunga ila?
Msafiri
Mtoto ambaye hajafikia ujana
Muislamu yenye dhambi
Mama anayenyonyesha
Mazoea yafuatayo yanaruhusiwa wakati wa Ramadhani isipokuwa?
Kumbusu mkewe
Uvutaji sigara
Kukimbia
Kusoma Quran
Je! Chakula kinachovunja swaumu kinaitwaje?
Sahur
Zakat
Iftar
Sadaqah
Je! Chakula huliwa kabla ya kuanza kufunga huitwa?
Iftar
Sahur
Zakat
Futari
Je! Jina la sherehe ambayo huashiria mwisho wa Ramadhani?
Eid al-Fitr
Eid al-Adha
Laylat al-Qadr
Hilal
{"name":"Je! Unafahamu nini kuhusu Ramadhani?", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Discover how well you understand the significance and practices of Ramadhani with our engaging quiz. This quiz comprises 10 multiple-choice questions that challenge your knowledge about fasting, traditions, and important dates related to this holy month.Learn about the key practices of Ramadhani.Test your understanding of when and how fasting is observed.Explore traditions associated with the end of Ramadhani.","img":"https:/images/course8.png"}
Powered by: Quiz Maker