TWAALIBAATUL ILMU
Twaalibaatul Ilmu - Seera 14

Yaitwaje nyumba walofanya mkutano maQureshi kuhusu kumuuwa Mtume s.a.w.?
Dar Un Nadwa
Dar ul Arqam
Dar ul Hijra
Dar ul Salaam
Nani walomkuta maQureshi kwenye kitanda cha Mtume s.a.w walipo taka kumuuwa?
Seyyidna Ali r.a.
Seyyidna Uthman r.a.
Seyyidna Jaafar ibn Abi Talib r.a.
Seyyidna Abubakar r.a.
Nani alotoka kwenda kumtafuta Mtume s.a.w. Kwa ajili ya kupata ngamiya miya?
Suraqa ibn Malik Ja'asham
Suraqa ibn Abdullah Ja'asham
Suraqa ibn Ali Ja'asham
Suraqa ibnJa'asham ibn Malik
Yaitwaje pango alojojifita Mtume s.a w.?
Ghari Thaur
Ghari Hiraa
Aqaba
Qubaa
Nani alotowa fikra ya kuuwawa Mtume s.a.w na mabarobaro
Abu Jahl
Abul Bukhtury
Utbah ibn Rabiaah
Abu Lahab
{"name":"Twaalibaatul Ilmu - Seera 14", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Yaitwaje nyumba walofanya mkutano maQureshi kuhusu kumuuwa Mtume s.a.w.?, Nani walomkuta maQureshi kwenye kitanda cha Mtume s.a.w walipo taka kumuuwa?, Nani alotoka kwenda kumtafuta Mtume s.a.w. kwa ajili ya kupata ngamiya miya?","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Powered by: Quiz Maker