twalibaatul.ilmu
Twaalibaatul Ilmu - Fiqhi 06

Sharti Nne (4) za swala ya jamuu taqdeem ni:
Kuanza na swala ya kwanza
Kutia nia ya jamuu ndani yake
Kufuatanisha baina ya hizo swala
Kudumu udhru
Kukhiari kuanza na swala upendao
Sharti mbili (2) za swala ya jamuu taakhir ni:
Kutia nia ya kuakhirisha katika wakati wa Swala ya kwanza
Kudumu udhru mpaka ukamilishe ya pili
Kuanza kwa swala ya pili
Una khiari kuanza na swala uipendao
Sharti saba (7) za kukusuru swala ni:
Iwe safari ni marhala mbili
Iwe safari ni ya halali
Iwe wajua kuwa wafaa kukusuru
Nia ya kukusuru wakati wa ihram
Iwe ni swala ya rakaa nne
Idumu safari mpaka mwisho wa Swala
Usimfuate Mwenye kutimiza
Khiari ya kumfuata mwenye kutimiza
Sharti sita (6) za swala ya Ijumaa ni:
Itukie katika wakti Wa adhuhuri
Isimamishwe katikati ya mji
Iswaliwe kwa jamaa
Na wawe ni watu arbaini waungwana wanaume walo baligh na wakazi wa mji
Isitanguliwe wala isikutamane na ijumaa nyengine katika mji mmoja
Itanguliwe na khutba mbili
Na wawe ni watu arbaini waungwana wanaume
Nguzo tano (5) za khutba za swala ya ijumaa?
Kumhimidi Mwenyeezi Mungu katika khutba zote mbili
Kumswalia Mtumi(SAW) katika khutba zote mbili
Kutoa waswia wa taqwa
Kusoma aya ya Quran katika katika moja ya khutba mbili
Kuwaombea dua waumini katika khutba ya mwisho
Kuwaombea dua waumini katika khutba ya kwanza
{"name":"Twaalibaatul Ilmu - Fiqhi 06", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Sharti Nne (4) za swala ya jamuu taqdeem ni:, Sharti mbili (2) za swala ya jamuu taakhir ni:, Sharti saba (7) za kukusuru swala ni:","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Powered by: Quiz Maker