twalibaatulilmu
Twaalibaatul Ilmu - Sera 02

Vipi hali ya waarabu kabla ya uislamu? Chaguwa yote yalo sawa
Walikuwa wakiuwa watoto wa kike
Walikuwa wakiuwa watoto wa kiume
Walikuwa wakiabudu masanamu
Walikuwa wakipendana kiukabila
Walikuwa wakipigana bila sababu
Mtumi (SAW) alilingania watu walo karibu na yeye kwa siri kwa muda wa miaka mingapi?
1
5
3
4
Mtu wa kwanza alo silimu ni nani?
Sayyidna Ali
Sayyidna Abubakar
Sayyidatna Khadija
Sayyidna Bilal
Ni aya gani ziliteremshwa kumuamrisha Mtumi (SAW) kuanza kulingania watu kwa dhahiri
اقْرَأْ بِاسْمِ رَبِّكَ الَّذِي خَلَقَ 2 خَلَقَ الْإِنسَانَ مِنْ عَلَقٍ 3 اقْرَأْ وَرَبُّكَ الْأَكْرَمُ 4 الَّذِي عَلَّمَ بِالْقَلَمِ 5 عَلَّمَ الْإِنسَانَ مَا لَمْ يَعْلَمْ
يَا أَيُّهَا الْمُدَّثِّرُ 2 قُمْ فَأَنذِرْ 3 وَرَبَّكَ فَكَبِّرْ 4 وَثِيَابَكَ فَطَهِّرْ 5 وَالرُّجْزَ فَاهْجُرْ 6 وَلَا تَمْنُن تَسْتَكْثِرُ 7 وَلِرَبِّكَ فَاصْبِرْ
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ 2 الْحَمْدُ لِلَّهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ 3 الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ 4 مَالِكِ يَوْمِ الدِّينِ 5 إِيَّاكَ نَعْبُدُ وَإِيَّاكَ نَسْتَعِينُ 6 اهْدِنَا الصِّرَاطَ الْمُسْتَقِيمَ 7 صِرَاطَ الَّذِينَ أَنْعَمْتَ عَلَيْهِمْ غَيْرِ الْمَغْضُوبِ عَلَيْهِمْ وَلَا الضَّالِّينَ
يَا أَيُّهَا الْمُزَّمِّلُ 2 قُمِ اللَّيْلَ إِلَّا قَلِيلًا 3 نِّصْفَهُ أَوِ انقُصْ مِنْهُ قَلِيلًا 4 أَوْ زِدْ عَلَيْهِ وَرَتِّلِ الْقُرْآنَ تَرْتِيلًا 5 إِنَّا سَنُلْقِي عَلَيْكَ قَوْلًا ثَقِيلًا
Mtumi (SAW) alilingania watu wa kwanza kuhusu nini? Chaguwa yote yalo sawa
Nguzo tano za kiislamu
Nguzo sita za iman
Tabiya njema
Kusikitiana
Mungu ni mmoja
{"name":"Twaalibaatul Ilmu - Sera 02", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Vipi hali ya waarabu kabla ya uislamu? Chaguwa yote yalo sawa, Mtumi (SAW) alilingania watu walo karibu na yeye kwa siri kwa mda wa miaka mingapi?, Mtu wa kwanza alo silimu ni nani?","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Powered by: Quiz Maker