Twaalibaatul Ilmu - Fiqhi 15

Niya ya udhu huhudhurishwa:
Mwanzo unapo osha uso
Unapoosha viganja vya mkono
Unapopandisha maji puani na kusukutuwa
Zipi kati ya hizi ni shuruti za udhu?
Uislamu
Kuweza kupambanuwa la sawa na la makosa
Mwanamke awe hana hedhi au nifasi
Kusiwe juu ya kiungo kitu chenye kubadilisha rangi ya maji
Waweza kuitakidi faradhi za udhu ni sunna
Maji unayoweza kujitwaharishiya ni:
Maji machache ambayo hayakubadilika sifwa zake
Maji mingi yaloingiya najisi na hayakubadilika
Maji mingi yalotangamana na kitu cha twahara na sifa hazikubadilika
Maji Machache yaloingiya najisi na hayakubadilika sifa
Mambo yeye kutanguwa udhu ni:b
Kutokwa na kitu kwenye moja ya ndia mbili
Kuondokewa na akili kwa namna zozote
Kugusana ngozi mbili ya mwanamke na mwanamume walo ajnabii
Kugusa tupu ya mbele au mzunguko wa tupu ya nyuma kwa viganja vya mkono
Kutokwa na manii
Ni zipi faradhi za udhu kwa mpangilio?
Niya, kusukutuwa, kuosha uso, kuosha mikono miwili mpaka ziwi ziwili, kupangusa kitwa, kuosha masikiyo, kuosha miguu miwili mpaka kwenye macho mawili, kufuwata mpangilio
Niya, kuosha uso, kuosha mikono miwili mpaka ziwi ziwili, kupangusa kitwa, kuosha masikiyo, kuosha miguu miwili mpaka kwenye macho mawili, kufuwata mpangilio
Niya, kuosha uso, kuosha mikono miwili mpaka ziwi ziwili, kupangusa kitwa, kuosha miguu miwili mpaka kwenye macho mawili, kufuwata mpangilio
Niya, kuosha mikono miwili mpaka ziwi ziwili, kuosha uso, kupangusa kitwa, kuosha miguu miwili mpaka kwenye macho mawili, kufuwata mpangilio
{"name":"Twaalibaatul Ilmu - Fiqhi 15", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Niya ya udhu huhudhurishwa:, Ni zipi faradhi za udhu kwa mpango?, Maji unayoweza kujitwaharishiya ni:","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}

More Quizzes

GK QUIZ
147697
Elements of Drama
158756
Bible Quiz
158126
Harry Potter and the Sorcerer's Stone - Chapter 14 Quiz
52110
Types of Damages
147316
Simple Present Tense, Past Tense and Progressive Tense Quiz
158145
Quiz for Chapter 1: Structure & Bonding//HAMZA MRIAN//WNT
15879
Which Paladins Champion Should You Main??
116369
MBTI test with relatable events/story for real !1!!1!! This quiz is an experiment and a bit of a joke in itself. If there are major incoherences comment it on PDB. Made by: @Fried Sauce on Personality Database
15883
Dive into Hogwarts: Chapter 9 Quiz
52110
سوالات سخت مخصوص پاترهد ها
116701
History
158265
Powered by: Quiz Maker