TWAALIBAATUL ILMUQuiz Week 73 - Twaalibaatul Ilmu

NI aya ya ngapi inayo eleza yafauatayo "Enyi wake wa Nabii! Nyinyi si kama yeyote katika wanawake wengine. Kama mnamcha Mungu basi msiregeze sauti zenu, akaingia tamaa mwenye maradhi katika moyo wake. Na semeni maneno mema."
33
32
31
30
Mwanaadamu hufungiwa Mlango wa Tauba yanapo jiri mambo gani mawili?
Roho ikifika kwenye koo
Jua linapochomoza kutoka magharibi
Jua linapochomoza kutoka mashariki
Akisha kukata roho
Mwaka wa kumi wa Hijriya, Mtume (swallallahu alayhi wasallam) alikwenda hajj (Hajjatul wadai). Taja mambo mane alousiya Mtume katika khutba yake ya mwisho
Hakika damu zenu na mali yenu ni haramu juu yenu mpaka mutakapokutana na Mola wenu
Mna haki juu ya wanawake, nao wana haki juu yenu
Hakika Wanaoamini wote ni ndugu, Hairuhusiwi kudhulumu haki ya ndugu yako katika dini, labda kama ataitoa kwa ridhaa yake mwenyewe.
Nyote ni watoto wa Adam, na Adam anatokana na udongo. Mwenye thamani zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu ni yule mwenye taqwa zaidi. Mwarabu hana ubora juu ya asiyekuwa mwarabu, isipokuwa kama atakuwa na taqwa.
Wapige shahada mbili
Wakiingiya Makka watufu
Safa na marwa ni lazima katika hajj
Kufanya umra ni lazima katika hajj
Taja adabu tatu za swala
Kusoma suratu Nnas kabla ya kufunga swala
Kumuabudu Mngu kama kwamba wamuona. Hata kama wewe humuoni, yeye akuona.
Kuhudhurisha moyo wako katika swala
Kusoma Suratu Nnas katika swala
Kuswali kabliya
Kuswali baadiya
Mtume (swallallahu alayhi waasallam) aliusiya sifa gani ya kutaguwa mke
Mwanamke aloumbika sura nzuri
Mwanamke mwenye mali
Mwanamke aloshika dini
Mwanamke alozalika, mwenye cheo
Taja wasia wapili na watatu wa Luqman Al Hakim alompa mwanawe
Kuwatenda zema wazazi wake, na mama yake ampe fungu kubwa zaidi. Kwani yeye alimbeba katika mimba kwa udhaifu unao zidi kila siku kidogo kidogo. Na tena kamnyonyesha muda wa miaka miwili ndipo alipo muachisha ziwa. Na tumemuusia: Mshukuru Mwenyezi Mungu na wazazi wako. Kwa Mwenyezi Mungu ndio marejeo kwa ajili ya hisabu na malipo.
Alimwambiya kuwa hakika wema au ubaya kwa mtu, hata ukiwa, mathalan, kwa udogo wake kama chembe ya khardali, iliyoko pahali palipo fichikana kabisa, kama ndani ya jabali, au ndani ya mbingu, au chini ya ardhi, Mwenyezi Mungu ataufichua na autolee hisabu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa yaliyo fichika, hakifichikani kitu hata kidogo kwake, ni Mwenye khabari ya kujua hakika ya kila kitu.
Alimuusiya ende umra kila mwaka
Alimwambiya akitaka kuowa aowe mke wa kabila lao
Taja majina ya lakab mawili ya sayyidna Hussain (radhiaAllanu anhu)
Attayyib
Azzakii
Seifullah
Dhuu Nurain
{"name":"Quiz Week 73 - Twaalibaatul Ilmu", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"NI aya ya ngapi inayo eleza yafauatayo :","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Powered by: Quiz Maker