SAYANSI MWAKA WA PILI (II)
{"name":"SAYANSI MWAKA WA PILI (II)", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIACHUO CHA UALIMU ILONGAIDARA YA SAYANSIMASWALI YA NYUMBANI MWAKA WA PILI NOV, 2023 Kazi ya kufanya likizo kwa mwaka wa pili. Imetolewa tarehe 24\/11\/2023Sir Godfrey Steven MAELEZO:FANYA SWALI LA Na 01 HADI 15.1. Ukiwa mwalimu wa Sayansi waelekeze wanafunzi wa darasa la tano tofauti moja ya msingiiliyopo kati ya lenzi mbonyeo na lenzi mbinuko , huku ukionesha na mchoro. 2. (a) Eleza kwa kifupi maana ya jedwali mrudio la elementi.(b) Elementi yenye namba ya atomi 7 ina valensi ya ngapi?. 3. Bainisha vitu vine ( 4 ) vinavyounda damu. 4. Taja sifa na tabia nne (4) za sumaku. 5. (a) Aridhia tofauti nne (4) zinazojitokeza katika badiliko la kiumbo na lile la kikemikali.(b) Eleza sifa nne (4) za elementi ambazo ni metali. 6. Taja homoni mbili (2) za uzazi zinazopatikana kwa mwanamke. 7. (a) Eleza maana ya ukinzani katika umeme.(b) Taja sababu mbili zinazoathiri ukinzani katika umeme. 8. (a) Kamilisha milinganyo ya kikemikali ifuatayo:-i) Haidrojeni + Oksijeni →………………………….ii) Besi + ……………….. →Chumvi + Maji. (b) Kamilisha na usawazishe milinganyo ya kikemikali ifuatayo :-i) H2SO4 + NaHCO3→ ii) Mg + HCl→ iii) NaOH + H2SO4→ 9. Onesha tofauti iliyopo kati ya kiumbe hai na kiumbe kisicho hai. 10. Eleza maana ya maneno yafuatayo :-i) Kanivorasi ii) Hebivorasi ii) Omnivorasi iv) Fotosinthesisi 11.(a) Taja misingi mitano (5) ya kuzingatia ili mwalimu aweze kuchagua njia\/mbinu bora ya kufundishia.(b) Kwa kutumia mifano eleza kanuni za kufumdishia somo la Sayansi. 12. Eleza maana ya maneno yafuatayo yanavyotumika katika uchunguzi wa kisayansi:-(a) Tatizo (b) Mabunio (c) Kufanya uchunguzi (d) Matokeo (e) Hitimisho. 13. Eleza onesha mbinu moja utakalotumia kuwaelekeza wanafunzi wa darasa la sita kipengelecha nyenzo daraja la tatu. 14. Bainisha mbinu na jinsi utakavyoitumia kufundishia utoaji wa huduma ya kwanza kwa mtualiyeumwa na nyoka kwa kuzingatia mbinu na taratibu za kisayansi. 15. “Mashine ni kitu chochote kinachorahisisha kazi”. Mthibitishie mwanafunzi wa darasa la tano kwa kutumia mbinu ya kazi-mradi. 16. (a) Fafanua dhana ya maada kwa kutumia mifano.(b) Kwa kuzingatia mbinu na taratibu za kisayansi, taja sifa 4 zinazotumikakulinganisha\/kutofautisha maada.(c) Bainisha mbinu utakayotumia kufundishia mabadiliko ya hali za maada kwa kuzingatia taratibu za kisayansi. 17. Eleza tofauti iliyopo kati ya Hadubini na Darubini. 18. (a) Bainisha maneno muhimu mawili katika kufasili neno ‘MAADA’.(b) Taja chembechembe zinazounda maada.(c) Kwa kutumia hoja 4 eleza kwa kifupi jinsi unavyoweza kutofautisha maada.(d) Tofautisha badiliko la kiumbo na badiliko la kikemikali. 19. (a) Nini maana ya kinga ya mwili ?.(b) Eleza aina za kinga za mwili.(c) Jadili mabo 4 yanayoathiri kinga ya mwili. 20. Kwa kutumia mifano waelekeze wanafunzi wa darasa la tano jinsi wenzo zinavyotofautiana. 21. (a) Fasili Sablimesheni.(b) Bainisha vitendo vinavyofanyika katika kubadili hali za maada zifuatazo :-i) Yabisi kwenda kimiminika ii) Kimiminika kwenda gesi iii) Gesi kwenda kimiminikaiv) Kimimnika kwenda Yabisi(c) Taja namna za maada na ueleze maana ya kila moja.(d) Eleza njia za kutenganisha michanganyiko ifuatayo:-i) Mchanga na Sukari ii) Dizeli na Maji iii) Mchele na Majiiv) Mchanga na Kloraidi ya Ammoniamu 22.Taja kazi 2 za seli hai nyeupe katika mwili wa binadamu. 23. Eleza maana ya istilahi zifuatazo :-(a) Wenzo (b) mkono wa mzigo (c) Egemeo (d) Manufaa ya kimakanika (e) Jitihada 24. Taja viini vya aina 4 na magonjwa yanayosababishwa na viini hivyo. 26. Thibitisha kuwa:-(a) Maada katika hali ya kimiminika zina ujazo maalumu.(b) Maada katika hali ya gesi hubinyika kwa urahisi. 27. (a) Eleza maana ya mwangwi(b) Eleza matumizi manne ya mwangwi. 28. (a) Ili maabara iwe bora inatakiwa kuwa na sifa mbalimbali. Bainisha sifa tano (5) tu zamaabara bora.(b) Vifungashio\/vihifadhio vya kemikali mbalimbali huwekwa alama za tahadhari kulinganana kemikali iliyomo. Eleza alama 5 tu za tahadhari zinazowekwa katika vihifadhio vyakemikali. 29. (a) Nini maana ya kinga ya mwili ?.(b) Eleza aina za kinga ya mwili(c) Jadili mambo manne yanayoathiri kinga ya mwili. 30. Aridhia kazi za sehemu tatu ambazo hufanana kati ya seli ya mnyama na mmea. 31. Kila somo lina misingi muhimu inayotakiwa kufuatwa ili kufanikisha ufundishaji wake. Somola Sayansi pia lina misingi yake. Kwa maelezo hayo fafanua misingi 6 inayotumika kufundishia somo la Sayansi. 32. Umeteuliwa kufundisha wanafunzi wa darasa sita ugonjwa wa kipindupindu. Waeleze wanafunzi hao:-(a) Kisababishi cha ugonjwa huo (b) Uenezwaji (c ) Dalili (d) Kuzuia (e) Tiba. 33. Kwa kutumia mchoro, chora sakiti sambamba ya umeme iliyo na kinzani zifuatazo 3Ω, 1Ω na 2Ω na volti ya 6V. Kisha tafuta mkondo wa umeme katika sakiti hiyo. 34. Fafanua dhana ya kutegemeana kwa viumbe hai, Please enter your email address","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
More Quizzes
Matthias Leonard
10523
Mid-Semester Review
4238
What is my Aura color?
740
Which Thompson is your soulmate?
15813
Wine Knowledge Level 1 (Free)
201020234
Accounting Measurement, Reporting & Control - Free
15819341
Famous Painters: Name the Artist from the Painting
201036834
Dandruff or Dry Scalp? Free to Find Your Type
201021520
Which Song Are You? Free Music Personality
201020851
New York State Math Test Practice - Free Online
201019447
Coffee Knowledge - Are You a True Connoisseur?
201033581
ACT Comma Practice - Free With Instant Results
201023043