Twaalibaatul Ilmu - Fiqhi 10

Ni namna gani hunajisika nguo?
Kukutana nguo kavu na najisi kavu
Kukutana nguo ya maji na najisi
Kukutana nguo kavu na najisi ya majimaji
Kukutana nguo ya maji na najisi ya majimaji
Ni mfu gani ambaye si najisi?
Binadamu
Samaki
Nzige
Kichinjo cha halali
Mbuzi alokufa kwa maradhi
Paka
Najisi ya katikati hutwahirishwa vipi?
Kuondosha sifa za najisi kisha upitishe maji
Kupitisha maji tu juu yake
Kunyunyiza maji tu juu yake
Kuondosha sifa ya najisi kwa kitambara
Hukmu ya maji machache ni:
Hunajisika kwa kuingiya najisi
Hutwahirika kwa kuongezwa maji mpaka yafike qullatein
Yafaa kutawadhiya
Yafaa kuogeya
Huwezi kutumiya ukiyatiya mikono
Hayanajisiki yakiingiya najisi kidogo
Hukmu ya maji mingi ni:
Hayanajisiki yakiingiya najisi
Hunajisika yakiingiya najisi yenye kuharibu sifa
Hayafai kutumiwa yakiingiya kitu twahara chenye kuharibu sifa
Yakinajisika huweza kutwahirika kwa kuwatwa muda mpaka yakageuka wenyewe
Ni lazima yahifadhiwe kwenye birika
Hunajisika yakitiwa mikono
{"name":"Twaalibaatul Ilmu - Fiqhi 10", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Ni namna gani hunajisika nguo?, Ni mfu gani ambaye si najisi?, Najisi ya katikati hutwahirishwa vipi?","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Powered by: Quiz Maker