طالبات العلم
Asma-ul-Husna - 01

Vipi tutamjua Allah?
Kupitia Quran na hadithi
Kupitia Istighfar
Ilmu ya tauhid
Ilmu ya rububia
Majina yake
Yote haya
Aya ngapi zimeanza na jina la Allah?
33
99
100
1001
Miongoni ya faida za kuomba dua kwa majina ya Allah.
Mahaba
Rajaa
Utapata Amali 3 (Fil Qalbi, lisani na jawarih)
Hutwahirisha moyo
Hupata maqasid yako
Kamalul yaqiin
Yote haya
Rahma ya Allah aipata nani katika hawa?
Bin Adam
Wanyama
Majini
Viumbe vyote hivi
Jee Rahma ya Allah waipata wasiokua waumini?
Naam
Laa
Rahma ya Allah ya patikana vipi?
Kwa kuumbwa
Kwa nia
Kwa kutenda wema
Kwa yote
Jina gani la Allah limepata hususia nyingi kushinda majina yote mengine?
Allah
ArRahman
ArRahim
AlMalik
Asmaul llahu a’3dham imefitika kwenye kilma gani?
Asmaul’husna tisa wa tisiin
Bismillahi Rrhaman Rrahim
Allahu laa illaha illa huwal hayyul qayyum
Laa ilaha illaAllah
Jina lipi la Allah lina sifa ya Rububia baina ya Arrahman na Arrahim?
ArRahman
ArRahim
Allah humpa mambo gani anaye kariri majina ya ArRahman na ArRahim?
Humpa ulaini wa moyo
Husikitikiwa na waja wote
Humtadaraki kwa rehma yake
Humpa mali mengi
Hujubiwa dua yake
Humuondoshea khauf
Humuondoshea shari na akapata kheri ya yule amuendeae kwa haja
Yote haya
{"name":"Asma-ul-Husna - 01", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Vipi tutamjua Allah?, Aya ngapi zimeanza na jina la Allah?, Miongoni ya faida za kuomba dua kwa majina ya Allah.","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Powered by: Quiz Maker