UONGOZI WA HUVIKA JIMBO LA KINONDONI

Create an image of a group of young people in a church setting actively discussing and collaborating, with the backdrop of Kinondoni, Tanzania, showcasing cultural and community elements.

Uongozi wa HUVIKA Quiz

Karibu kwenye quiz ya UONGOZI WA HUVIKA JIMBO LA KINONDONI! Hii ni fursa yako ya kutoa maoni na mawazo kuhusu uongozi wa HUVIKA katika parish yako. Tunahitaji uelewa wa kina kuhusu hali ya vijana katika kanisa letu na jinsi tunavyoweza kuboresha ushirikiano.

Hakika, vijana ni nguvu ya kijamii na wanapaswa kushiriki kikamilifu. Tunatoa maswali mawili ya msingi katika quiz hii:

  • Ushirikiano wa viongozi na vijana
  • Masuala yanayohusiana na michango na ushiriki wa vijana
10 Questions2 MinutesCreated by EngagingLeader234
Chagua Parish unayotoka (Chagua Parish Moja tu)
Fukayosi
Bagamoyo
Kiromo
Kerege
Amani Kerege
Bunju Beach
TBA
Boko
Basihaya
Tegeta
Mivumoni
Salasala
Mlima Sayuni
UCC
Mbezi Beach
Je kwenye Parish yako kuna Viongozi wote SITA (6) wa HUVIKA? Kama hakuna, Je mnahitaji kiongozi/viongozi gani?
NDIYO WAPO 6
MWENYEKITI
MAKAMU MWENYEKITI
KATIBU
MAKAMU KATIBU
MHAZINI
MAKAMU MHAZINI
HATUHITAJI
Je kwenye Parish yako kuna Mlezi wa HUVIKA? (ambaye siyo Mchungaji wa Parish)
NDIYO
HAPANA
Je kwenye Parish yako kuna Siku ya HUVIKA? kama ipo  (Taja siku mnayokutana, muda mnaokutana na mnakutana mara ngapi kwa mwezi) kama hakuna ( eleza sababu kwa nini hakuna)
Ni kweli kabisa siyo vijana wote wanahudhuria siku ya vijana. Je kitu gani kifanyike ili vijana wote waweze kuhudhuria siku ya vijana?
Ni kweli kabisa siyo vijana wote wanahudhuria vipindi na Ibada za Kanisani. Je kitu gani kifanyike ili vijana wote waweze kuhudhuria vipindi vyote na Ibada zote za kanisani?
Je ni vijana wangapi ni waaminifu kwenye kutoa/kutimiza michango ya HUVIKA? (Jaza kwa Tarakimu)
Kwanini kuna ugumu kwenye kukusanya michango ya mwezi na kuwasilisha Jimboni kwa wakati? Nini kifanyike ili tuwe tunatoa michango kwa wakati bila kusukumwa?
Je kuna ushirikiano mzuri kati ya vijana na uongozi wa HUVIKA katika Parish yako? Kama hakuna nini kifanyike ili kuimarisha ushirikiano mzuri kati ya vijana na Uongozi wa HUVIKA?
Je Kitu gani kifanyike ili tuwe na umoja na mshikamano mzuri HUVIKA JIMBO LA KINONDONI
{"name":"UONGOZI WA HUVIKA JIMBO LA KINONDONI", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Karibu kwenye quiz ya UONGOZI WA HUVIKA JIMBO LA KINONDONI! Hii ni fursa yako ya kutoa maoni na mawazo kuhusu uongozi wa HUVIKA katika parish yako. Tunahitaji uelewa wa kina kuhusu hali ya vijana katika kanisa letu na jinsi tunavyoweza kuboresha ushirikiano.Hakika, vijana ni nguvu ya kijamii na wanapaswa kushiriki kikamilifu. Tunatoa maswali mawili ya msingi katika quiz hii:Ushirikiano wa viongozi na vijanaMasuala yanayohusiana na michango na ushiriki wa vijana","img":"https:/images/course4.png"}
Powered by: Quiz Maker