TWAALIBAATUL ILMU
Twaalibaatul Ilmu - Fiqhi 14

Nguzo za dini ni:
Islam
Iman
Ihsan
Shahada Mbili
Qadar
Hajj
Nguzo za kiislamu ni:
Kuamini kuwa hapana Mola Illa Allah na Muhammad ni Mtume wake
Kusimamisha Swala
Kutowa Zaka
Kufunga Ramadhan
Kwenda kuhiji Makkah kwa mwenye kuweza
Kuamini Siku ya Mwisho
Kuamini Vitabu Vyake
Kuamini Qadr
Nguzo za Iman ni kuamini:
Allah
Malaika
Vitabu
Mitume
Siku ya Mwisho
Qadar, Kheri na Shari kutoka na Allah
Kusimamisha Swala
Kutowa Zaka
Wapi katika hawa ni Mitume walotajwa kwa majina kwenye quran?
Nuh
Lut
Yusuf
Yahya
Shith
Yusha
Vitabu aloteremsha Allah kwa Mitume yake ni:
Taurat
Injil
Zabur
Qur'an
Swahifa
Nawawi
{"name":"Twaalibaatul Ilmu - Fiqhi 14", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Nguzo za dini ni:, Nguzo za kiislamu ni:, Nguzo za Iman ni:","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Powered by: Quiz Maker