twalibaatul.ilmu
Twaalibaatul Ilmu - Sera 04

Lini Mtumi (SAW) aliamrishwa kuwalingania watu wake?
Baada ya kuteremshiwa 26: 214
 
وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِيوَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَنَ
Baada ya kuteremshiwa 74:1
 
 يَا أَيُّهَا الْمُدَّثِّرُ
Baada ya kuteremshiwa 96:1
 
اقْرَأْ بِاسْمِ رَبِّكَ الَّذِي خَلَقَ
Baada ya kuteremshiwa 73:1
 
يَا أَيُّهَا الْمُزَّمِّلُ
Mtumi (SAW) alipoamrishwa kufanya Daawa ya dhahiri aliamrishwa tena jambo gani?
Kusimamisha Swala
Kuwalingania jamaa zake
Kugura Mji
Kufunga
Maqureshi mwanzo walikimpenda Mtumi (SAW), je walianza lini kumtukia?
Alipopewa Utumi
Biashara zake zilipofana
Alipoweka hajar aswad kwenye Al Kaaba
Alipo utangaza Utumi
Maqureshi walipomuendea Aba Twalib kusema naye Mtumi (SAW), aliwajibu nini?
Jipangeni
Alikataa matakwa yao
Aliwapa jawabu Mzuri
Alikubali matakwa yao
Mtumi alipowalingania watu wake, Abu Lahab alimfanya mambo gani mawili?
Alimpongeza
Alimkadhibisha
Alimshika mashati kutaka kumpija
Alimshukuru kwa waadhi wake
{"name":"Twaalibaatul Ilmu - Sera 04", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Lini Mtumi (SAW) aliamrishwa kuwalingania watu wake?, Mtumi (SAW) alipoamrishwa ku fanya Daawa ya dhahiri aliamrishwa tena jambo gani?, Maqureshi mwanzo walikimpenda Mtumi (SAW), je walianza lini kumtukia?","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Powered by: Quiz Maker