طالبات العلم
Malezi Katika Uislamu- 01

Tumeambiwa nini katika Qur'an, kuhusu watoto kwa wazazi wao?
Mali Yasokwisha
Tuzo La Jito Na Pambo La Dunia
Mlango Wa Pepo
Twafaa vipi kulea watoto?
Milla na desturi
Ada na twabia za kigeni
Ilmu ilotoka kwa wahyi
Uislamu umetukua umuhimu wa malezi ya mtoto kutoka daraja gani?
Kabla hajapatikana
Akiwa mchanga
Akibalegh
Kwa kutaka watoto wema, bora kutafuta mke au mume alo na nini?
Sura nzuri
Dini na akhlaq njema
Mali na nasaba kubwa
Uhusiano wa mzazi na mtoto hukatika waqti gani?
Mtoto anapo balegh
Haukatiki duniani wala akhera
Mtoto anapo oa au kuolewa
Katika tendo la kumpata mtoto inasistizwa kusoma bismillah na dua kwa sababu gani?
Kumhifadhi mtoto na shetani katika kiwiliwili chake na dini yake
Kumhifadhi mtoto asiwe na sura mbaya
Kufanya tendo liwe la furaha zaidi
Natija gani hupatikana mtu akizaa na kumlea mtoto wakike?
Aibu kubwa kwa familia
Wazee kujipatiya mahari binti anapoolewa
Hijabu kwa wazazi kutokamana na moto na ni ndia ya pepo
Kwa hadithi ya Mtume (saw) mwenye kulea watoto watatu wa kike inavopasa katika dini, ataingia peponi vipi?
Na Mtume kwa kuashiria vidole viwili pamoja
Mtume mbele yeye nyuma
Pamoja na hao watoto wake
Ni mambo gani mzazi akimfanyia mtoto wa kike pepo huwajibika kwake kwa hakika?
Kumfunza adabu, kumpenda na kutomchapa
Kumfunza adabu, kumrahamu, kumdhamini na kumuozesha
Kumlisha, kumvisha na kumpa ilimu
Ni Hukmu gani ya Baba juu ya kulisha na kuangalia watoto wake?
Wajib na sadaqa kwake
Wajib wake
Wajib wake yeye na mke wake
{"name":"Malezi Katika Uislamu- 01", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Tumeambiwa nini katika Qur'an, kuhusu watoto kwa wazazi wao?, Twafaa vipi kulea watoto?, Uislamu umetukua umuhimu wa malezi ya mtoto kutoka daraja gani?","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Powered by: Quiz Maker