-20170929-102003
Quiz Week 71 - Twaalibaatul Ilmu

Ni bishara gani alopewa Sayyidna Suraqa ibn Malik na Mtume (swalallahu alaihi wasallam)?
Atavaa vikuku viwili va Qisra
Atapawa Ngamiya 100
Atawatwa Huru
Atapata Mitende 300
Ni sifa gani Allah (Subhana wataala) alimsifu Mtume (Swalallahu alayhi wasallam) katika aya ya 22 ya Surat Ahzab?
Hakika nyinyi mna kiigizo kizuri kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu
Nasi hatukukutuma ila uwe ni Rehema kwa walimwengu
Basi Naapa kwa Rabb (Mola) wako, hawatoamini mpaka wakufanye wewe ni mwamuzi katika yale wanayo zozana baina yao, kisha wasipate katika nyoyo zao karaha katika yale uliyohukumu na wajisalimishe, kwa kujisalimisha (kikamilifu).
Uaminifu
Taja Masharti Matano ya Tawbah ya Naswuwhaa (ya kweli kweli):
Kuomba maghfirah
Kuacha hayo maasi
Kujuta
Atie niya kutoyaregeleya hayo maasiya
Kama kaidhulumu haki ya mtu basi ni kuirudisha hiyo haki.
Kutowa swadaka
Kwenda Umra
Kulisha Maskini sitini
Taja baadhi ya mambo mane yatakikana ufanye wakati wa kulala
Ulale upande wako wa kulia na ulekee qibla
Ulale hali yakuwa Twahara
Azimiya kulipa kisasi pindi utakapo amka
Utubie dhambi zako
Azimiya kuwafanyiya watu mema utakapo amka
Ulale upande wako wa kushoto na ulekee qibla
Taja mambo mane yalojiri katika mwaka wa Tisa wa Hijra
Vita va Tabuk
Alikufa UmmuKulthum bint Rasul (Swallallahu alayhi wasallam)
Kufa kwa Abdullahi ibn Ubaid - Ras Munafiqin
Kuamrishwa kuvundwa kwa Masjid Dhwirar
Kujengwa kwa Masjid Qubaa
Vita va Uhud
{"name":"Quiz Week 71 - Twaalibaatul Ilmu", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Ni bishara gani alopewa Sayyidna Suraqa ibn Malik na Mtume (swalallahu alaihi wasallam)?, Hii ni aya ya ngapi katika Surat Al Ahzab: Wanafikiri yale makundi ya maadui hayajaondoka. Na yakija hayo makundi watatamani laiti wao wako majangwani pamoja na mabedui, wakiuliza khabari zenu. Na lau wakiwa pamoja nanyi hawapigani ila kidogo tu., Ni sifa gani Allah (Subhana wataala) alimsifu Mtume (Swalallahu alayhi wasallam) katika aya ya 22 ya Surat Ahzab?","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Powered by: Quiz Maker