TWAALIBAATUL ILMU
Twaalibaatul Ilmu - Sera 08

Baada ya miaka mingapi Mtumi (SAW) aliamrisha baadhi ya waislamu kugura Makkah?
Watu wangapi walio gura Makkah mwanzo?
Wanaume 15, Wanawake 10
Wanawake 15, Wanaume 10
Wanaume 10, Wanawake 5
Wanawake10, Wanaume 5
Katika Hijra ya kwanza, waligura kwenda mji gani?
Katika Hijra ya kwanza, walirudi Makkah baada ya mda gani?
Miaka Mitatu
Miezi Mitatu
Wiki Sita
Miezi Sita
Ni nani katika hawa walikua kwenye msafara wa kwanza kugura Makkah?
Authman Bin Affan (ra)
Ruqayyah binti Muhammad (SAW)
Jaffar Sidique (ra)
Abdurahman Bin Auf (ra)
Abu Salama (ra)
Umu Salama (ra)
Abdalla Bin Mas'ud (ra)
Zayd Ibn Harith (ra)
{"name":"Twaalibaatul Ilmu - Sera 08", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Baada ya miaka mingapi Mtumi (SAW) aliamrisha baadhi ya waislamu kugura Makkah?, Watu wangapi walio gura Makkah mwanzo?, Wanaume wangapi walio gura Makkah mwanzo?","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Powered by: Quiz Maker