twalibaatul.ilmu
Twaalibaatul Ilmu - Sera 11

Ni nani katika maqureshi walo jaribu kwanza kuwarudisha waislamu walipo gura Habasha mara ya pili?
Abal Hakam
Abu Sufian
Abdallah bin Rabi3a
Amr bin Aus
Walitukua khatua gani Maqureshi walipojua kua waislamu wameguria Habasha?
Walimpa zawadi Amr bin Aus na mwenzake na kuwapeleka Habasha waseme na Mfalme awarudishe Makkah wote waliokua wameguria Habasha
Walimtuma Amr bin Aus na mwenzake Habasha kuwarudisha Makkah kwa nguvu wote waliokua wameguria Habasha
Walimpa zawadi Amr bin Aus na mwenzake na kuwapeleka Habasha. Zawadi wampe Mfalme Najashi na waseme naye Mfalme awarudishe Makkah wote waliokua wameguria Habasha
Walimpa zawadi Amr bin Aus na mwenzake na kuwapeleka Habasha. Zawadi wampe Mfalme Najashi, makasisi na mawaziri wake. Kisha waseme naye Mfalme awarudishe Makkah wote waliokua wameguria Habasha
Amr alitumia usulubi gani wakusema na Mfalme Najashi ili awasalimishe waislamu mikononi mwake? Aliwaita waislamu
Masafihi
Wahalifu
Waharibifu
Wazushi
Wame kimbia wazee wao
Wizi
Ni mambo gani katika haya yalitokea katika mazazi ya Mtumi (SAW)
Nuru ilio onekana mpaka mji wa Sham
Alizungushwa na malaika mashariki na magharibul ardh
Babake alitinda ngamia Mia kama furaha yake
Mazazi yake yalishuhudiwa na Sayyidati na Asya Binti Muzahim na Sayyidati na Maryam Binti Imran
Mfalme Najashi alipokufa alikua ni muislamu na Mtumi (SAW) aka
Mswalia swala ya maiti ughaibuni
Safiri kwenda Habasha kuhudhuria mazishi yake
Waambia waislamu warudi zao Makkah
Tuma jeshi kwenda kuwalinda waislamu walioko Habasha
{"name":"Twaalibaatul Ilmu - Sera 11", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Ni nani katika maqureshi walo jaribu kwanza kuwarudisha waislamu walipo gura Habasha mara ya pili?, Walitukua khatua gani Maqureshi walipojua kua waislamu wameguria Habasha?, Amr alitumia usulubi gani wakusema na Mfalme Najashi ili awasalimishe waislamu mikononi mwake? Aliwaita waislamu","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Powered by: Quiz Maker