طالبات العلم 20170929_102003
Twaalibaatul Ilmu - Fiqhi 17

Ni lini ilipo faradhiwa swala?
Lailatul israi wal miiraj
Lailatul nisfi min shaaban
Lailatul qadr
Ni zipi nyudhuru za kutoswali kwa wakati wake?
Kulala na kusahau
Kusafiri
Kula
Zipi katika hizi ni sharuti za swala?
Twahara kutokamana na hadath kubwa na ndogo
Twahara kutokamana na najisi kwenye nguo kiwiliwili na mahali
Kuelekeya qibla
Kujisitiri tupu
Kuepukana na yenye kubatwilisha swala
Takbiratul ihram
Mambo yanayo batwilisha swala ni?
Hadath
Kutukiwa na najisi ikiwa hukuiondowa kwa haraka
Kufungukwa na tupu
Haraka tatu za kufuwatana
Kula kwa uchache kwa kusahau
Ni zipi katika hizi ni swala za sunna zenye wakati?
Swala za eid mbili
Swalatul witr
Kabliyya na baadiya
Swalatu taraweh
Swalatu dhuhaa
Swala ya kupatwa mwezi au juwa
{"name":"Twaalibaatul Ilmu - Fiqhi 17", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Ni lini ilipo faradhiwa swala?, Ni zipi nyudhuru za kutoswali kwa wakati wake?, Zipi katika hizi ni sharuti za swala?","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Powered by: Quiz Maker