TWAALIBAATUL ILMUTwaalibaatul Ilmu - Fiqhi 16

Ni mambo gani yakimpata mtu huwa ni wajibu kuoga?
Kutokwa na manii kwa kulala au kuwa macho
Kumaliza Heidh
Kumaliza Nifas
Kuzaa
Kuoshwa Maiti
Baada ya kitendo cha ndoa na iwe umetokwa na manii
Ni mambo gani haramu kwa mwenye janaba?
Kuswali
Kutufu
Kushika mas'haf na kubeba
Kuketi Masjid
Kusoma Qur'an
Kusoma quran ilioko katika baadhi za nyuradi
Uchache wa twahara baina ya heidh mbili ni siku ngapi?
20
10
15
7
Ni mambo gani yalo haramu kwa mwenye heidh na nifas?
Kuswali
Kutufu
Kushika mas'haf na kubeba
Kuketi Masjid
Saumu
Kusoma Qu'ran kukusudiya ni kisomo
Kusoma Qur'an kwa ajili ya uradi au hifdhi
Ni nani kati ya hawa laana ya Allah s.w.t. itamshukiya?
Mwanamke mwenye kumdanganya mumewe ana heidh na kumbe hana
Mwanamke mwenye kuwa katika heidh akasema hana
Mwanamke alo twahara akasema yu twahara
Mwanamume alodanganywa na mkewe kuwa ana hedhi
{"name":"Twaalibaatul Ilmu - Fiqhi 16", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Ni mambo gani yakimpata mtu huwajibika kuoga?","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Powered by: Quiz Maker