TWAALIBAATUL ILMU
Twaalibaatul Ilmu - Fiqhi 12

Katika kusitiri tupu
Kwa mwanamke ni kiwiliwili chote isipokuwa uso na viganja vya mkono
Kwa mwanamume ni baina ya kitovu na magoti
Kiwe cha kusitiri ni kitu cha kuvaa
Haitoshelezi giza au khaima dogo kuwa ni stara
Chenye kustiri yaweza kuonesha rangi ya mwili
Kuelekea Qibla
Ni kwa kifuwa kwenye kusimama na kuketi
Kwa mabega na kiwiliwili kilo baki kwenye nguzo nyengine
Kukiwa na khofu utalekeya upande wowote
Utaregeleya swala ukiswali kwa kutolekeya kibla kwa ajili ya khofu
Nguzo za swala ni ngapi?
19
17
24
10
Nguzo ya swala ya maneno ni
Takbiratul Ihram
Kusoma fatiha kwenye killa rakaa
Kusoma tashahhud (attahiyyatu ) kitako cha mwisho
Kumswaliya mtume s.a.w baada ya tashahhud ya mwisho
Kutowa Salamu
Kutiya Niya
Qunut
Tasbih katika rukuu na sujud
Nguzo ya moyoni ni
Niya
Takbiratul Ihram
Kusoma Fatiha ya kwanza
Kusoma sura baada ya fatiha
{"name":"Twaalibaatul Ilmu - Fiqhi 12", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Katika kusitiri tupu, Kuelekea Qibla, Nguzo za swala ni ngapi?","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Powered by: Quiz Maker