Kuingiya kwenye Uislamu; Kwenda kuswali Ijumaa; Kwenda kuswali Eid
Kitendo cha ndoa baina ya mke na mume; Kutokwa na Manii; Kumaliza damu ya Heidh au Nifas; Kuzaa
Kumaliza damu ya Heidh au Nifas; Kutokwa na Manii; Kuzaa; Kuangaliya kwa matamaniyo
Mambo yenye kutanguwa (kuharibu) udhu ni:
Kudarana ngozi mbili ya walo ajnabii pasi na kizuizi; Kulala hata ikiwa umemakinisha makalio yako kwenye ardhi; Kutokwa na chochote kativka moja ya njiya mbili hata manii
Kupotolewa na akili illa ukiwa umelala na umemakinisha makaliyo kwenye ardhi; Kutokwa na chochote kwenye moja ya njia mbili illa mani; Kudara tupu kwa nyuma ya vitengele vya mkono
Kutokwa na kitu chochote katika moja ya njiya mbili isipokuwa manii; Kupotolewa na akili illa ukiwa umelala na umemakinisha makaliyo kwenye ardhi; Kudarana ngozi mbili ya walo ajnabii pasi na kizuizi; Kudara tupu ya mbele au ya nyuma kwa matumbo ya vitengele au matumbo ya vidole
Alotangukwa na udhu ni haramu juu yake:
Kuswali; Kutufu; Kufunga; Kuingiya masjid
Kuswali; Kutufu; Kugusa mas'haf; Kubeba Mas'haf
Kuswali; Kutufu; Kufunga; Kugusa mas'haf;Kuingiya Masjid
Najisi nzito ni:
Mkojo wa mtoto wa kiume ambaye hajafika miaka miwili na hajakula kitu illa maziwa
Mbwa na Nguruwe
Baki ya najisi
Eleza jinsi ya kutwahirisha najisi ya kati kati
Kwa kunyunyiziya maji juu yake
Kwa kuondosha sifa za najisi kisha upitishe maji juu yake
Kwa kuondosha sifa za najisi kisha upitishe maji juu yake mara saba mara moja uwe umetanganya na mchanga
{"name":"Twaalibaatul Ilmu - Fiqhi 02", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Taja sababu za kuoga josho la faradhi, mambo yenye kutanguwa udhu ni:, Alotangukwa na udhu ni haramu juu yake:","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}