Kwanini mwaka alozaliwa Mtume Muhammad kuitwa mwaka wa ndovu?
Mfalme wa Habasha alipeleka jeshi siku ya kuzaliwa Mtume (swallaAllahu alaihi wasallam) katika mji wa Makka kuivunda alKaaba. Na katika hilo jeshi, kulikuwa na ndovu mkubwa.
MaQuraishi siku ya kuzaliwa Mtume (swallaAllahu alaihi wasallam) walitaka kuivunda alKaaba. Na walikuwa na Ndovu mkubwa.
Mfalme wa Habasha alipeleka jeshi siku ya kuzaliwa Mtume (swallaAllahu alaihi wasallam) katika mji wa Makka. Na katika hilo jeshi, kulikuwa na ndovu mkubwa aloivunda al Kaaba..
Mtume Muhammad alinyoyeshwa na wanawake gani?
Amina bing Wahabi
Khadija bint Khuwailid
Thuweba-tul-Islamiya
Halima-tul-Saadiya
Ummu Ayman
Nani aliyemlea baada ya kufa Mamake na babuyake?
Halima-tul-Saadiya
Aba Twalib
AbdulMuttwalib
Mtume alifanya kazi gani udogoni mwake?
Mtume Muhammad na Sayyida Khadija walikuwa na umri gani walipo funga ndoa na waliishi kwa miaka mingapi?
Mtume Muhammad 40, Sayyidatina Khadija 25
Mtume Muhammad 25, Sayyidatina Khadija 40
Mtume Muhammad 40, Sayyidatina Khadija 40
Mtume Muhammad alitumiya hikma gani kuliweka hajaral aswad mahala pake baada ya kujengwa alkaaba (upya)
Aliliweka lile hajaril aswad katika kishali chake na akataka katika kila kabila atoke mkubwa wao ashike nta ya kile kishali, kisha akawaamrisha wakiinue kile kishali, walipofika mahali pake, Mtume (rehma na amani zimshukie yeye) alilitukuwa lile hajaril aswad kwa mkono wake na akaliweka kwa mkono wake mtukufu.
Alilitukuwa na akaliweka hajaril aswad kwa mkono wake mtukufu.
Aliliweka lile hajaril aswad katika kishali chake na akataka katika kila kabila atoke mkubwa wao ashike nta ya kile kishali, kisha akawaamrisha wakiinue kile kishali mpaka penye Kaaba, walilitukuwa na kuliweka mahali pake.
Taja umaarufu wa Mtume Muhammad kwa watu wake
Eleza maisha ya Mtume Muhammad kabla ya kupawa utume
Mwanzo wa kuteremka wahyi, Mtume Muhammada alikuwa mahali gani na umri gani?
Eleza wahy wa kwanza ulivyo teremshwa
{"name":"Twaalibaatul ilmu - Sera 01", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Kwanini mwaka alozaliwa Mtume Muhammad kuitwa mwaka wa ndovu?","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}