TWAALIBAATUL ILMU
Twaalibaatul Ilmu - Fiqhi 07

Mambo gani mane (4) yalo wajibu kufanyiwa maiti?
Kuoshwa
Kukafiniwa
Kuswaliya
Kuzikwa
Kusomewa
Kuadhiniwa
Kafani ya mwanamume kwa ukamilifu ni:
Nguo ya kumueneya
Mashuka mawili
Mashuka matatu
Kanzu na Kitambi
Kafani ya mwanamke kwa ukamilifu ni zipi nne (4) katika hizi zifuatazo:
Nguo ya kumueneya
Kanzu
Mtandio
Kitambi
Mashuka Mawili
Mashuka Matatu
Nguzo saba (7) za swala ya janaza ni:
Kutiya niya
Takbira ziwe nne
Kusimama kwa awezae
Kusoma fatiha
Kusoma sura
Kumswaliya mtume s.aw baada ya takbira ya pili
Kumuombeya dua maiti baada ya takbir ya tatu
Kutowa salam
Kusoma Qunut
Hufufuliwa maiti kwa sababu zipi nne (4) katika hizi zifuatazo?
Ikiwa hajaoshwa na ikiwa hajaharibika
Ikiwa hakulekezwa kibla
Ikiwa amezikwa na mali
Ikiwa mwanamke alizikwa na mwanawe na kuna uwezekano wa kuwa hai
Ikiwa hakuswaliwa
Ikiwa hajalipiwa deni
{"name":"Twaalibaatul Ilmu - Fiqhi 07", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Mambo gani mane (4) yalo wajibu kufanyiwa maiti?, Kafani ya mwanamume kwa ukamilifu ni:, Kafani ya mwanamke kwa ukamilifu ni zipi nne (4) katika hizi zifuatazo:","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Powered by: Quiz Maker