Quiz Week 72 - Twaalibaaatul Ilmu
Quiz Week 72 - Twaalibaaatul Ilmu
{"name":"Quiz Week 72 - Twaalibaaatul Ilmu", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Haya ni maelezo y aya ya ngapi katika Surah Al Ahzab \"Na Mwenyezi Mungu aliwateremsha walio wasaidia makundi ya maadui katika Watu wa Kitabu, nao ni Mayahudi wa Bani Quraidha, kutokana na ngome zao walipo kuwa wakijilinda ndani yake. Na akaingiza katika nyoyo zao kitisho. Wengine mkawa mnawawauwa, nao ni wanaume, na wengine mnawachukua mateka, nao ni wanawake na watoto.\", Mtumi (swallaAllahu alayhi wasallam) alitwambia tutubieni kwa Allah (subhana wa taala) kila siku na tulete istighfari mara ngapi kwa siku?, Katika mwaka wa kumi wa hijra Mtumi (swallaAllahu alayhi wasallam) alimtuma Sayyidna Ali (radhiAllahu anhu) kwa qabila la Midh'hij la nchi ya Yemen. Mtumi (swallaAllahu alayhi wasallam) alimwambiya aliwalingaliye vipi?","img":"https://cdn.poll-maker.com/34-1145723/dua-naum.png?sz=1200-00000000001000018716"}
More Quizzes
The Ultimate Roast Quiz
1680
One-way / Two-way door type of decision
9426
Christmasy movies
1059
Yummy
10511
How well do you Siti?
1058
Cloudlock Certification
100
Amulet IDE
10518
Music and Gaming Quiz
6323
Top Traders Quiz - Factos Inspiradores e Divertidos Sobre Negociadores Famosos
1050
Is your student on track for college?
630
Hoeveel weet jij van nanotechnologie?
740
All About Me Quiz
1266