TWAALIBAATUL ILMU
Twaalibaatul Ilmu - Seera 12

Ni mwaka gani alipokufa Seyyida Khadija r.a.?
Mwaka wa 10 tangu kuanza utume
Mwaka wa 10 hijriya
Mwaka wa 11 hijriya
Mwaka wa 8 tangu kuanza utume
Baada ya kufa Seyyida Khadija r.a., Mtume s.a.w. Alimuoa nani?
Sauda bint Zam'a r.a.
Aisha bint Abubakar r.a.
Hafswa bint Umar r.a.
Zainab bint Jahsh r.a.
Ni mke wake yupi alimuoa bikra?
Aisha bint Abubakar r.a.
Maimuna bint Al Harith r.a.
Ramla bint Abu Sufiyan r.a.
Zainab bint Khuzaima r.a.
Mtume s.a.w. Alikwenda na swahaba gani Twaif?
Zaid ibn Harith r.a.
Ali Ibn Abi Twalib r.a.
Umar Ibn Khatwab r.a.
Zaid Ibn Thabit r.a.
Mtume s.a.w. Aliuwita mwaka wa 10 tangu kutumilizwa mwaka wa huzuni kwa sababu gani?
Kufiliwa na mkewe Sayyida Khadija r.a. Na ammi yake Aba Twalib
Kugura maswahaba kwenda Habasha
Kutokubaliwa na watu wa Twaif
Kuandikwa mkataba wa Hiswaar dhidi ya makabila ya Banuhashim na Banumutwalib
{"name":"Twaalibaatul Ilmu - Seera 12", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Ni mwaka gani alipokufa Seyyida Khadija r.a.?, Baada ya kufa Seyyida Khadija r.a., Mtume s.a.w. alimuoa nani?, Ni mke wake yupi alimuoa bikra?","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Powered by: Quiz Maker