FIQHI - MTIHANI 01

Alama za mtu kubaleghe ni ngapi
4
3
Shuruti za Kutamba (kunawa) kwa mawe ni ngapi
8
6
Ni upi mpangilio sawa wa kutawadha
Kuosha uso, kupukusa maji kitwani, kuosha mikono miwili mpaka vifundo viwili, kuosha miguu miwili mpaka mato mawili
Kuosha uso, kuosha mikono miwili mpaka vifundo viwili, kupukusa maji kwenye kitwa, kuosha miguu miwili mapaka mato mawili
Mambo managapi yanapo mpata mtu, huwajibika kuoga
6
10
Shuruti za udhu ni ngapi
6
10
Ni jambo gani latanguwa udhu
Kulala usingizi wa dakika tano kitandani
Kulala muda mrefu kwa kumakinisha maketio yake katika ardhi
{"name":"FIQHI - MTIHANI 01", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Alama za mtu kubaleghe ni ngapi, Shuruti za Kutamba (kunawa) kwa mawe ni ngapi, ni upi mpangilio sawa wa kutawadha","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Powered by: Quiz Maker