KISWAHILI 1- 4

JINA LA MWANAFUNZI
Kitendo cha kupachika mofimu tegemezi mwanzoni au mwishoni mwa mzizi wa neno huitwa mnyambuliko
Kweli
Si kweli
Katika utumiaji wa lugha si muhimu kuzingatia suala la mila na desturi za jamii husika.
Kweli
Si kweli
Misimu ya kitarafa ni aina ya misimu ambayo huchukua eneo kubwa zaidi.
Kweli
Si kweli
Kiimbo ni kupanda na kushuka kwa mawimbi ya sauti.
Kweli
Si kweli
Kitomeo ni kidahizo pamoja na ufafanuzi wake katika kamusi.
Kweli
Si kweli
Semi ni utungo wa kisanaa ulio na madhumuni ya kutumbuiza.
Kweli
Si kweli
Uandishi wa insha kwa ujumla huonyesha miundo mikuu minne.
Kweli
Si kweli
Maneno yaliyo orodheshwa katika kamusi na kuandikwa kwa kukolezwa huitwa kidahizo.
Kweli
Si kweli
Sanaaa ni aina ya fasihi inayowasilishwa kwa njia ya mdomo
Kweli
Si kweli
Ufupisho ni hali ya kujua na kulielewa jambo kiasi cha kuweza kulielezea vizuri kwa upya.
Kweli
Si kweli
Lugha huundwa na nguzo kuu nne ambazo ni sauti, umbo, mpangilio na maana.
Kweli
Si kweli
Kuna aina kuu tisa za maneno katika lugha ya kiswahili.
Kweli
Si kweli
Dodoma ni aina ya nomino ya kijamii
Kweli
Si kweli
Tu huonyesha nafsi ya kwanza uwingi.
Kweli
Si kweli
Sarufi hujumuisha mfumo wa matamshi, maumbo, muundo na maana za maneno...
Kweli
Si kweli
Kufupisha maneno ni moja ya kuunda maneno mapya katika lugha.
Kweli
Si kweli
Ujumbe ni funzo analolipata mtubaada ya kusoma kazi ya fasihi.
Kweli
Si kweli
Nyimbo ni kitendo cha kuiga tabia za mtu mwingine.
Kweli
Si kweli
Neno "anafundisha" lina mofimu nne.
Kweli
Si kweli
Kiima ni sehemu inayokaliwa na mtendwa wa jambo.
Kweli
Si kweli
Kiarifu ni sehemu inayokaliwa na mtenda jambo.
Kweli
Si kweli
Mawasiliano ni kitendocha kupeana taarifa fulani baina ya watu wawili au zaidi.
Kweli
Si kweli
Nasibu ni jambo ambalo hutokea pasipo kutegemea.
Kweli
Si kweli
Silabi ni neno au maneno ambayo hutamkwa mara moja na kwa pamoja kama fungu moja la sauti.
Kweli
Si kweli
"Mwaaaaa" ni aina ya viwakilishi vya A- unganifu.
Kweli
Si kweli
{"name":"KISWAHILI 1- 4", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"JINA LA MWANAFUNZI, Kitendo cha kupachika mofimu tegemezi mwanzoni au mwishoni mwa mzizi wa neno huitwa mnyambuliko, Katika utumiaji wa lugha si muhimu kuzingatia suala la mila na desturi za jamii husika.","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Powered by: Quiz Maker