TWAALIBAATUL ILMU
Twaalibaatul Ilmu - Sera 07

Walitukua khatua gani Maqureshi zilipo feli njama zao za kumuudhi na kumfanyia stihzai Mtumi SAW kama ndia ya kumzuia kufanya daawa yake?
Wali kata tamaa wakamuata afanye atakalo
Walianza kuadhibu waislamu miongoni mwa jamaa zao na waliokua madhwaifu
Walimfuata shingo upande
Walimtoa mji
Ni maswahaba gani watatu (3) katika hawa walikua musta3dhafina
Bilal Bin Rabah
Amar bin Yassir
Musaab Bin Umeyr
Habab Bin Arati
Maqureshi wali wapa adhabu gani saba (7) waislamu wa kwanza?
Waliwanyima chakula
Waliwanyima maji
Walikiwapija
Walikiwafunga kwenye vizio juani
Wali kiwatia maji ya moto
Walikiwatia jela
Walikiwafanya watumwa
Walikua wakiwatia moto
Walifanya mambo gani mawili (2) Maqureshi walipoona msimamo wa waislamu haubadiliki japo wameadhibishwa sana?
Walivumbua mbinu mpya za kuwaadhibu
Walimuendea Mtumi SAW wakamuambia wagawanyiane siku za kuabudu. Wao waabudu kama waislamu kiasi ya mwezi na waislamu waabudu kama wao kiasi ya mwezi.
Waliachana na waislamu wafanye watakalo
Walitaka Mtumi aondoshe aya zinazo watukana wao na waungu wao
Ni Surat gani ilio teremshwa kuwajibu Maqureshi matakwa yao ya kugawanya siku
Surat Al-Masad
Surat An-Nasr
Surat Al-Kafiroon
Surat Al-Ikhlas
{"name":"Twaalibaatul Ilmu - Sera 07", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Walitukua khatua gani Maqureshi zilipo feli njama zao za kumuudhi na kumfanyia stihzai Mtumi SAW kama ndia ya kumzuia kufanya daawa yake?, Ni maswahaba gani watatu (3) katika hawa walikua musta3dhafina, Maqureshi wali wapa adhabu gani saba (7) waislamu wa kwanza?","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Powered by: Quiz Maker