twalibaatul.ilmu
Twaalibaatul Ilmu - Fiqhi 03

Uchache wa Kupata Heidh ni:
Mtana na Usiku wake
Mtana Mmoja
Siku Sita au Saba
Siku Kumi na Tano
Nyudhuru za Kutoswali kwa wakati wake ni mbili zifuatazo - (ukiweka jawabu ambayo si sahihi, yapunguza hisabu (marks) zako)
Kulala
Kusahau
Kusafiri
Kufanya Kazi
Hadathi kubwa ni ambayo yampasa mtu
Kuoga
Kutawadha
Kutayammam
Kutumiya mawe
Zipi katika hizi ni sharti za Swala, chagua majibu matano (5) sahihi (ukiweka jawabu ambayo si sahihi, yapunguza hisabu (marks) zako)
Kutwahirika na hadathi mbili
Kujisitiri Tupu
Kuingiya wakati wa swala
Kutawadha kabla ya wakati
Kuelekeya Qibla
Kutwahirika na najisi katika nguo, kiwiliwili na mahali pa kuswaliya
Kusoma Al Fatiha
Takbira yakufungiya Swala
Nguzo za Swala ni
15
17
5
10
{"name":"Twaalibaatul Ilmu - Fiqhi 03", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Uchache wa Kupata Heidh ni:, Nyudhuru za Kutoswali kwa wakati wake ni:, Hadathi kubwa ni ambayo yampasa mtu","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Powered by: Quiz Maker