twalibaatul.ilmu
Twaalibaatul Ilmu - Fiqhi 11

Ni mambo gani yanayompasa mtu kuoga josho la faradhi?
Kutokwa na manii kwa kulala au kuwa mato
Kitendo cha ndoa
Mwanamke kumaliza heidh
Nifas
Kuzaa kwa upungufu
Damu ya istihadha
Kulala kwa mke na mume bila ya kujimai (kutenda tendo la ndoa)
Mwenye maradhi ya kuharisha damu
Sharti za kujistiri katika swala ni:
Kwa mwanamume baina ya kitovu na magoti
Kwa mwanamke ni kiwiliwili chote illa uso na viganja vya mkono
Ni wajibu chenye kusitiri kisioneshe rangi ya mwili
Kiwe ni chenye kuvaliwa
Yatosheleza giza au khaima dogo kuwa ni chenye kusitiri
Mwanamke kujisitiri ni kiwiliwili chote illa macho
Mwanamume ni baina ya kitovu na miguu
Kulekeya qibla ni:
Kwa kifuwa ukiwa umesimama
Kwa mabega na kiwiliwili kwenye nguzo nyengine
Kwa kulekeya upande wowote ikiwa kuna khofu
Ataregeleya swala ikiwa hakulekeya kibla kwa ajili ya khofu
Kwa kifuwa ukiwa umeketi
Sunna
Faradhi za kuoga ni:
Kutiya Niya
Kueneza kiwiliwili maji ngozi na nyele
Ni wajibu kuosha ndani ya nyele nyingi
Si wajibu kuosha yanaonekana kama nje ya sikiyo au yenye kudhihiri kwenye tupu ya mwanamke anapo chutama
Kuosha kiwiliwili tu
Kuelekeya Qibla
Nyakati za swala hujulikana:
Kwa kupinduka jua ni Adhuhuri
Kufika kivuli cha kila kitu mfano wake ni Asr
Kutwa juwa ni Maghrib
Kuondoka mawingu mekundu ni Isha
Alfajiri huingiya kwa kueneya miangaza upande wa magharibi na mashariki
Kupotea kivuli ni Asr
Kuingiya giza ni Magharibi
{"name":"Twaalibaatul Ilmu - Fiqhi 11", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Huwa hali gani Mwanamume na Mwanamke akitowa na manii bila kufanya tendo la ndoa?, Wakati wa swala ya Isha, Ni wajibu gani unaompasa Mwanamume na Mwanamke walofanya tendo la ndoa bila kutokwa na manii?","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Powered by: Quiz Maker