twalibaatul.ilmu
Twaalibaatul Ilmu - Sera 05

Maqureshi walimuendea mara ngapi Aba Twalib kumnasihi aseme na Mtumi (SAW)
1
2
3
4
Aba Twalib alimwambia maneno gani Mtumi (SAW) baada ya kusemeshwa na maqureshi
Maneno walio mwambia maqureshi, indhari walizotoa na matakwa yao na kumtaridhilia kuafkika na jambo lake kwa kumchelea asidhuriwe na maqureshi
Maneno walio mwambia maqureshi na yeye Mtumi (SAW) awatane na da3wa yake.
Maneno walio mwambia maqureshi, indhari walizotoa na matakwa yao na akamwambia Mtumi (SAW) atoke kwake asimletee balaa nyumbani kwake.
Maneno walio mwambia maqureshi, indhari walizotoa na matakwa yao na akamwambia Mtumi (SAW) atoke aende kujitetea mwenyewe
Mtumi (SAW) ali yaelewa vipi maneno ya Aba Twalib? Naye Aba Twalib alifanya nini kutambua ufahamu wake huu?
Alifahamu kuwa Aba Twalib amechoka na yeye, Aba Twalib nae alifurahi kuona amefahamika sawa
Alifahamu kuwa Aba Twalib amechoka na yeye, Aba Twalib nae alisikitika na kubadilisha nia yake akamwambia rudi usitoke.
Alifahamu kuwa Aba Twalib amechoka na yeye, Aba Twalib nae akamfahamisha kua achelea asidhuriwe lakini yeye haja choka kumuhami wala hatochoka na akamwambia aende aseme analotaka na yeye hato msalimisha kwa maqureshi.
Alifahamu kuwa Aba Twalib amechoka na yeye, Aba Twalib nae akamfahamisha kua achelea asidhuriwe lakini yeye haja choka kumuhami na bora Mtumi SAW awatene na da3wa yake
Aba Twalib alimjibu jawabu gani Mutiim Bin Adii walipo mpa kijana awe badali ya Mtumi (SAW)?
Alifurahi na kuwashukuru maqureshi kwa wema wao kumpa mtu kwa mtu.
Alikasirishwa sana na kukataa kumbadilisha Mtumi (SAW) na kijana chao.
Alimjibu kuwa maqureshi watakalo mfanyia si wema na yeye hataki wa mdare Mtumi (SAW) na hato ruhusu wamdhuru kwa lolote maadam yeye yuhai.
Alikasirishwa sana na kukataa kumbadilisha Mtumi (SAW) na kijana chao. Akawaambia wamletee mawazo mengine
Maqureshi walipokosa matlaba yao kupitia Aba Twalib walimtuma nani kusema na Mtumi (SAW) na Mtumi alimjibu vipi?
Utba na Mtumi (SAW) akamsomea Suratul Fusillat
Utba na Mtumi (SAW) akamsomea Suratul Sijdah
Abal Hakam na Mtumi (SAW) akamsomea Suratul ikhlas
Aba Lahab na Mtumi (SAW) akamsomea Suratul Fatha
{"name":"Twaalibaatul Ilmu - Sera 05", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Maqureshi walimuendea mara ngapi Aba Twalib kumnasihi aseme na Mtumi (SAW), Aba Twalib alimwambia maneno gani Mtumi (SAW) baada ya kusemeshwa na maqureshi, Mtumi (SAW) ali yaelewa vipi maneno ya Aba Twalib? Naye Aba Twalib alifanya nini kutambua ufahamu wake huu?","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Powered by: Quiz Maker