طالبات العلم 20170929_102003
Twaalibaatul Ilmu - Seera 16

Idadi ya waislamu ilikuwa wangapi katika Vita vya Badr?
650
313
970
1000
Waislamu wangapi walouliwa katika Vita vya Badr?
70
13
50
14
Banu Qainuqaa ni nani?
Kabila katika Answar
Kabila katika Mayahudi walovunda ahdi na Mtume s.a.w
Mahabash
Maquraish
Ni yapi katika haya yalotokewa mwaka wa pili wa hijra?
Kugeuzwa kibla kutoka baitul maqdis kulekeya Alkaaba
Kufaradhiwa zakatul fitr na zakatul maa
Kufaradhiwa swaum ya ramadhwan
Kusuniwa swala ya eid 2
Kufaradhiwa hajj
Kujengwa Masjid Qubaa
Mwaka Upi Seyyidna Ali r.a alimuoa nana Faatwima?
Mwaka wa kwanza hijriya
Mwaka wa 2 hijriya
Mwaka wa 3 wa hijriya
Mwaka wa 4 hijriya
{"name":"Twaalibaatul Ilmu - Seera 16", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Idadi ya waislamu ilikuwa wangapi katika Vita vya Badr?, Waislamu wangapi walouliwa katika Vita vya Badr?, Banu Qainuqaa ni nani?","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Powered by: Quiz Maker